Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
msaada pleaseWanaume wa mikoani katika ubora wao
mmmh nifanyeje sasa jamaniUnafuga parasite bila kujitambua.
natamani iwe hivyoMkuu huyo nae anakupenda pia ila komaa tu usikate tamaa nenda nae taratibu atakuja kukaa kwenye mstari ,.
Kukwambia kuwa ana mtu ,kuna mawili huwenda kweli au isiwe kweli ikawa tu kukujenga tu uwone yeye si mtu wa kipole pole,
we endelea kutema sumu ipo siku atakuwachia jumla ushindwe wewe
nimeanza kukata tamaaJipe moyo utampata!
Kweli.. mkuu yawezkana jamaa hana verse za kumtoa nyoka pangon teh teh tehNipe namba nikusaidie
Unamshauri abake!? Wasichana wenyewe ndio hawa hawa wanaowashtaki waume zao mahakamani kisa hisa za vodacom !! Haya ngoja afanye hivyo tumsome magazetiniMwite Geto..piga romance hata kwa force then kula mzgo amsha popo..
Mkuu.. huyo binti akikunwa vilivyo hawez kwnda popote coz ana element za kufall in love sema tu anampima ndugu yet upeo wa kujiongezaUnamshauri abake!? Wasichana wenyewe ndio hawa hawa wanaowashtaki waume zao mahakamani kisa hisa za vodacom !! Haya ngoja afanye hivyo tumsome magazetini
Sasa nihivi yeye sianajifanya Janjalo? Tafuta mwanamke mwingine kuwa nae beneti tu mjal kama mpenz wako hat ukimchukulia rafiki yako lakin mfanye kuwa karibu na wewe tu mbona utaona huyo anaanza kuona wivu? kama anakupenda kweli atakufata.Habari zenu wana jamii forum
Kuna binti fulani ninasoma naye college hapa mwanza moja,kanizoea sana kuanzia mwaka jana ila tatizo nikimuapproarch huyo binti anasema ana jamaa yake ambaye anayekaa dar es salaam,ila tatizo yeye anasema anataka niwe namfundisha na anataka kuwa close na mimi ila tukitaka kuzungumzia kuhusu swala la mapenzi mimi na yeye anakataa kabisa,ila bado ananipigia simu kila kukicha anataka tuwe tunasoma....sasa tatizo hapa mimi nilikuwa na mazoea naye ya kawaida ila kadiri muda unavyokwenda naanza kumpenda kwa kasi ila yeye hayuko tayari.......naombeni ushauri wenu maana naumia sana