Mapenzi siyo chanzo cha kipato chako

Ukizaliwa mwanamke Kuna ka upendeleo fulani hivi katika mahangaiko ya kutafuta maisha, miili yetu ilivyo laini na ndivyo nature inatupunguzia maumivu ktk utafutaji, tangu enzi za kale wanawake walipigana vikumbo kuwa na wanaume wenye nyadhifa, wafalme, mitume na manabii ili kuokoa jamii zao,

Sema siku hizi imezidi lakini huo ndio uhalisia
Hapo Sasa ni ukosefu wa adabu, ila mwanamke kumuwinda mwanaume mwenye wadhifa Ni ishu ipo toka enzi hizo

Dada zangu naomba niwaulize swali:

Je utafurahi siku ukigundua mwanaume ulie naye havutiwi na wewe, bali yupo na wewe kwenye mahusiano kwasababu una pesa nyingi? Noelia amu Shunie Espy
 
Mwengine anakuja anataka mfilane sa huyo naanzaje kumpa bure hata awe mpenz wang nitahitaji chapaa ntamsumbua tu sabu nayy anasumbua ..labda awe ananikawaida vinginevyo nihalali yanguuu
 
Back
Top Bottom