Mapenzi sio vita, kwanini tukomoane kwenye 6X6?

Mapenzi sio vita, kwanini tukomoane kwenye 6X6?

Huyu jamaa anataka kuua watoto wa watu, mara mpaka inuke kama baruti [emoji15] [emoji15] . huyo akiondoka harud tena.
Wengi wao ukipigia hivo kesho lazma arud tena ....ila ngoja wataalam wa mambo ss kuelezea
 
Wengi wao ukipigia hivo kesho lazma arud tena ....ila ngoja wataalam wa mambo ss kuelezea
yaan Dem ukipiga rafu ndiyo anasikia raha unapiga engo zote kulia upande ukija kucha ukiweka miguu mabegani pusy yote unarudi apo juu unashindilia ukuni wote unagusa kipele g ukikojolea tuu lazima aombe poo kesho mapema huyo hawa wadudu Bila kuwala kihuni wanaleta dharau mkuu
 
An hour?? Daah...!! Mateso bila chuki..
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Filamu za ngono zinafanya watu wajaribu mengi. Tunatizama na kufanya majaribio kwa wenza wetu. Inabidi watu wanywe "mkuyati" ili mradi tu waende "marathon".
 
yaan Dem ukipiga rafu ndiyo anasikia raha unapiga engo zote kulia upande ukija kucha ukiweka miguu mabegani pusy yote unarudi apo juu unashindilia ukuni wote unagusa kipele g ukikojolea tuu lazima aombe poo kesho mapema huyo hawa wadudu Bila kuwala kihuni wanaleta dharau mkuu
Ngoja lile kundi la Vibamia Association Tanzania (VAT) wajitokeze nao watoe ya moyoni.
 
mkuu hawa wanaume wa Dar tunawagongea sana madem zao utapigaje chips yai alafu ukato........
Huku mkoani ugali wa dona mixer mhogo unashusha rungu tatu bila kupunzika.

Niliishi dar yani nkitaka dona mpaka nivuke maji nikaichukulie kigamboni.
Zunguka soko la temeke na tandika kote ni sembe tupu.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Filamu za ngono zinafanya watu wajaribu mengi. Tunatizama na kufanya majaribio kwa wenza wetu. Inabidi watu wanywe "mkuyati" ili mradi tu waende "marathon".
Ni matatizo mtani wangu, badala ya sex kuwa starehe imegeuka kuwa performance exams, baadhi ya wanaume wanashindwa kufahamu kuwa kila mwanamke ana preferences zake linapokuja suala la sex, wanahisi formula moja ina apply kwa kila mwanamke, kila mmoja amsome mwanamke wake ajue anataka nini kwenye sex, sio kupeana adhabu pasipo kuambiana kosa.
 
Mhali gani wapendwa ktk Jf?

Pamoja na uwepo wa manjonjo mengi ktk ulimwengu wa mapenzi, kizazi hiki kisichotabirika kimeanza kugeuza tendo kuwa kama uwanja wa vita badala ya starehe inayoweza kumhamisha mtu kifikra mpaka ktk ulimwengu wa kusadikika.

Vijana wengi wamekua busy kutafuta dawa za kuwafanya wawe na nguvu kupitiliza kanakwamba wanaenda vitani. Wengine wanatamba kwamba akikukamata ni mpaka kivimbe ndo akuachie. Kwani lengo ni kuumizana?

Mchezo ule hauhitaji hasira ila upole, utaratibu maalum na hisia kali zitakazo kuhamisha ktk ulimwengu uliopo. Inashangaza kuona mtu ana-pump kama anazibua chemba iloziba mwaka mzima na kumsababishia kero na maumivu makali mwenza wake.

Ukifanikiwa kukaa jirani na eneo ambalo zoezi hilo huendelea unaweza kusikia kelele nyingi utadhani mtu anapigwa mangumi ila ukiuliza utaambiwa ni wapenzi wanagegedana.

Hebu tujaribu kufanya romantic love na sio vita na utaona matokeo yake, upendo utazidi kuliko awali.

Jungu kuu halikosi ukoko.
Dead [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unadhani muda gani ndo utakuwa sahihi na si mateso ndugu yangu?
Hili ni individual based preferences, Siwezi kutoa jibu la moja kwa moja... Nimewaza tu, Yanga ingine uwanjani imalize kipindi cha kwanza, ipumzika then ijiandae kurudi kipindi cha pili nyie bado tu mnabinjuka maybe round moja hata bado?...
 
Nakubaliana na wewe kabisa ndiyo maana nilisema kuna wengine wanataka rough game wengine dk 1 wengine zaidi ya lisaa tena na makelele mengi kuwa bado bado...So haina formula nkabisa hii mambo...
 
Suala la sex huwa halina formula maalumu. Wapo wanaopenda mwendo mrefu, wapo wanaopenda mfupi, wapo wanaopenda rough na wanaopenda slow motion. Sasa ukutane na mpenda rough we slow utaonekana hujui and viceversa.
 
Sio ya vijana rafiki. Ni muhimu hasa kwako mwanandoa.
Alhamdulillah hanikomeshi ila ananifurahisha ikifikia sehemu hiyo na hua ananiuliza kama nataka kuongeza au nimeshiba
na kwa upande wangu vile vile sasa ndio mana nikasema mambo ya vijana hayo sie tushakua watu wazima kukomoana hakuna tena kuna ile tukumbukie enzi zile za bao 5 tunaishia kucheka...lol
 
Siku moja moja lazima mpige mechi za mashindano bwana. Huna utu uzima wa hivyo, tena kwa umri huo libido yako yaweza kuwa juu zaidi.[emoji12]
 
Hayo ni matokeo ya zile video za ngono plus stories za vijiweni zinasababisha imagination mbaya kwa vijana juu ya sex.

We miss jando na unyago aisee.
wanakwambia mjini msingi kiuno
 
Back
Top Bottom