Mapenzi sio vita, kwanini tukomoane kwenye 6X6?

Mapenzi sio vita, kwanini tukomoane kwenye 6X6?

Inaelekea na sisi anatuelewa pia ila tatizo ni jinsi ya kutujibu [emoji3] [emoji3] [emoji3]
hahahahahahahha weweeeee utamfanya asiwe anatafsiri bhana acha hizo.

tengua kauli yako hapo.
 
mechi ya kwanza huwa ni ya kirafiki ili usome mpinzani wako yukoje uwanjani na mara nyingi huwa inakuaga slow motion kwajili ya haibu flani ila baada ya yakumaliza njo utajua uyu yupo kwenye kundi gani rough game au slow
 
Back
Top Bottom