Umetumia neno sahihi, binti kachagua furaha zaidi ya jambo lolote. Kwa hiyo ambao furaha inaletwa na pesa?
Kwa ambao furaha inaletwa na pesa, na wao hivyo hivyo wanayo haki ya kuipa kipaumbele ndio vigezo vingine vifuate...ila tu ktk harakati za kutafuta hiyo "haki" isiondoe utu wake
Ukishazungumzia exchange na barter trade hapo sio love ni prostitution in another form
Kwa ambao furaha inaletwa na pesa, na wao hivyo hivyo wanayo haki ya kuipa kipaumbele ndio vigezo vingine vifuate...ila tu ktk harakati za kutafuta hiyo "haki" isiondoe utu wake
Human relationships za aina zote iwe mapenzi au hata urafiki wa kawaida hupaswi Tazama 'nitapata nini au nitam use vipi'...anae tafuta mwanaume mwenye pesa basi hata marafiki anachagua who is useful kwa mahitaji yake......and that what prostitutes doEndapo hiyo exchange inahusisha pesa upande mmoja na mapenzi upande wa pili ndio, naweza kubaliana na wewe kuwa ni aina ya prostitution whatever the case.
Lakini kwa kilichopo mezani, ni kuwa pesa hiyo ikiwepo, sio mbaya na ikikosekana pia hamna kinachoharibika. Ni kuwa mapenzi yanabaki pale pale.
Endapo hiyo exchange inahusisha pesa upande mmoja na mapenzi upande wa pili ndio, naweza kubaliana na wewe kuwa ni aina ya prostitution whatever the case.
Lakini kwa kilichopo mezani, ni kuwa pesa hiyo ikiwepo, sio mbaya na ikikosekana pia hamna kinachoharibika. Ni kuwa mapenzi yanabaki pale pale.
Human relationships za aina zote iwe mapenzi au hata urafiki wa kawaida hupaswi Tazama 'nitapata nini au nitam use vipi'...anae tafuta mwanaume mwenye pesa basi hata marafiki anachagua who is useful kwa mahitaji yake......and that what prostitutes do
Hilo neno...hupaswi kuangalia unapata nini.. i hope unazungumzia kuwa attached to material things na sio hisia za mtu
Hilo neno...hupaswi kuangalia unapata nini.. i hope unazungumzia kuwa attached to material things na sio hisia za mtu
barter trade haihusishi pesa, rejea definition google.
Kukishakuwa na pesa, no longer barter trade.
Mahusiano yeyote ni exchange ya vitu, sasa uelewa na uchambuzi inategemea na tafakuri ya mtu.
Hata mwanao wa kuzaa kuna exchange ya vitu kati yenu.
Be it pesa, affection, understanding n.k.
Kuna uzi hapa uliwahi kuletwa 'je, wanawake wote wanajiuza?'. Ulizua mjadala mkali wenye mitazamo tofauti, unless kama unakubaliana na uzi ule kuwa wanawake wote wanajiuza, vinginevyo nashindwa kuelewa mtu kusimamia kinachompa furaha.
Nimegundua wasichana wanaotoka 'well to do family ni easy kwao kupenda bila kuangalia pesa' kulinganisha na wale wanaotoka 'familia za kimaskini sana'.....sababu definetly hawataki kurudi huko na huwezi kuwalaumu
Ukishasema tu yule atanipa nini ni prostitution mchana kweupe...
kwani hisia za mtu si kitu? Na ni dhambi kuangalia material things kama humiwapui mtu?
Nikupe mfano, ukiuliza mdada, unataka mme mwenye sifa zipi, atakuorodheshea. Ukiona hizo sifa ujue ndio kitu anataka ku exploit kutoka kwa mwenza. Hujiulizi kwa nini asiseme yeyote?
Kwenye mahusiano yeyote lazima kuna exchange. Kuna uzi hapa pia uliwekwa kulikuwa na maneno 'to love is to give', labda ukiusoma utanipata.
I mean material thingsMmmmmmh....tunatofautiana mitazamo, kama nina mtu anayenivumilia, kosoa, fanya nicheke unafikiri sipati kitu hapo? Kwanini nisiendelee kubaki? Huo nao tunauita prostitution?