Mapenzi Sio Pesa

Mmm! Huyo kakoleaa tuu na huyo Luo/Kikuyu anamfikisha au Ana mgusaa ndipo.. Bila ya pochi hayendi mapenzi ya siku izi.... Juu ya kua pesa sio kila kitu...
 
Sana tu wanahangaika mno msichana hana kazi but ana Samsung galaxy ya laki saba...sasa si bora anunue cherehani ashone?

unaanzaje kushona from nowhere huna ujuzi wala uzoefu wala wazo la kuwa fundi cherehani
 
Pesa inaleta raha,haileti furaha......

True true.. money can get you all the comfort one could imagine and beyond! Lakini sadly, haileti ridhiko la moyo na haiondoi unyafuzi wa nafsi
 
Ridhiko la moyo ni lipi? Na haya.maridhiko ya moyo yanafanana kwa kila.mtu?

True true.. money can get you all the comfort one could imagine and beyond! Lakini sadly, haileti ridhiko la moyo na haiondoi unyafuzi wa nafsi
 
unaanzaje kushona from nowhere huna ujuzi wala uzoefu wala wazo la kuwa fundi cherehani

Nunuwa hata mapochi neckles, sandals na vitu vya wadada uza na kukopesha ukienda salon kutengeneza nywele zako badala ya kupiga umbea na kuwaza mabuzi tumia muda huo kunadi biashara yako.
 
Ni kweli mapenzi sio pesa sema pesa inasaidia sana kulifurahia penzi.
 
Nunuwa hata mapochi neckles, sandals na vitu vya wadada uza na kukopesha ukienda salon kutengeneza nywele zako badala ya kupiga umbea na kuwaza mabuzi tumia muda huo kunadi biashara yako.

unaongea kirahisi mtaji natoa wapi
 
na pia they are yet to realize that money cant buy happiness
Tangu lini umaskini ulileta furaha kwenye maisha ya mwanadamu? Kwa nini watu wanafikiri watu wote wenye pesa hawana furaha au ukitaka kuwa na furaha lazima uwe na pesa. Being happy is a choice.
 
Ni kweli mapenzi sio pesa sema pesa inasaidia sana kulifurahia penzi.

Mnatoa majibu yasiyo husika hapa hakuna aliesema umasikini ndo furaha...tulichosema kuchagua pesa over furaha...it means Unaweza kuwa na maisha ya kiasi na furaha
 
huu ndio ukweli mchungu. Utafurahia penzi umeshindia maji? Vakesheni hadi mshinde shindano la koka kola?

Lazima kubalansi mambo.

Hayo ya kwenda vacation na kunywa wine ni mjini tu mkuu! Kuna watu wanakunywa togwa na mihogo ya kuchoma raha mustarehe.
 
Tangu lini umaskini ulileta furaha kwenye maisha ya mwanadamu? Kwa nini watu wanafikiri watu wote wenye pesa hawana furaha au ukitaka kuwa na furaha lazima uwe na pesa. Being happy is a choice.

Unazidi potosha watu hatujasema chagua umasikini tumesema kwenye love na pesa bila love chagua love na ishu ya umasikini ni separate...Mnaweza Anza taratibu mkatoka...hii ndo point hatupo hapa kutetea umasikini
 
Hayo ya kwenda vacation na kunywa wine ni mjini tu mkuu! Kuna watu wanakunywa togwa na mihogo ya kuchoma raha mustarehe.

Vacation na mtu humpendi kisa ana pesa ni vacation au payback camping?
 
Vacation na mtu humpendi kisa ana pesa ni vacation au payback camping?

wengine wanaamini kwenda vacation na kufyonza champagne ndio furaha ya mapenzi ndio maana nimemueleza kuna watu wanakunywa togwa na mihogo ya kuchoma lakini wana furaha mno.
 
huu ndio ukweli mchungu. Utafurahia penzi umeshindia maji? Vakesheni hadi mshinde shindano la koka kola?

Lazima kubalansi mambo.
Ukiona mwanaume anakwambia mapenzi sio pesa, kimbia coz kwa kifupi anasema I am broke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…