Sana tu wanahangaika mno msichana hana kazi but ana Samsung galaxy ya laki saba...sasa si bora anunue cherehani ashone?
Mi cjamkandia mkuu au uoni vizurii....mi nmefurahishwa na aliekoment ivo ulipaswa kumwambie yy na sio mm.....istoshe kwenye mapenz akuna cha pesa wala utajir waweza kua na pesa na ukampenda maskin....pia waweza kua maskin na ukampenda mwenye pesaa
Poverty culture inatusumbua...tunajali sana image ya kuonekana kuliko ukweli halisi...poverty in our mind haijatutoka
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenichekesha
Nimegundua wasichana wanaotoka 'well to do family ni easy kwao kupenda bila kuangalia pesa' kulinganisha na wale wanaotoka 'familia za kimaskini sana'.....sababu definetly hawataki kurudi huko na huwezi kuwalaumu
Well said!
Na mm nlie na galaxy ya laki tano na bado npo shule ninunue cherehan???
Hamna lolote! Mnatutia ndimu ya unga tukolee mtu doche BUREEEEEEE! Thubutuuuuuuu!
Hamna lolote! Mnatutia ndimu ya unga tukolee mtu doche BUREEEEEEE! Thubutuuuuuuu!
Umaskini unanyonya akili na maarifa..
Na wewe si ni muhindi?
Hamna lolote! Mnatutia ndimu ya unga tukolee mtu doche BUREEEEEEE! Thubutuuuuuuu!
Hamna lolote! Mnatutia ndimu ya unga tukolee mtu doche BUREEEEEEE! Thubutuuuuuuu!
Like like likeeeeeee
Like with ur brain hapa JF ukiambiwa pita kulia wewe pita tu kushoto na wote utawakuta huko.
Ni kweli mkuu, ukikutana na demu katoka kwenye familia nzuri kama hajatulia unakuta ni ujana tu, ila akitulia hasa kwenye ndoa anatulia haswa mpaka unakuta wenzake wana muliza jamaa anakupa nini mpaka umetulia tu, ila ukikuta maskini mswazi akili inakuwa mbele dakika 10 mwanzo mwisho, ukipata anatulia kiaina, mungu akileta mtihani wa kipato kidogo anachanganyikiwa, umaskini nomaumasikini ni kovu la kiakili....hata ukikuisha unaku disturb bado...
Ni kweli mkuu, ukikutana na demu katoka kwenye familia nzuri kama hajatulia unakuta ni ujana tu, ila akitulia hasa kwenye ndoa anatulia haswa mpaka unakuta wenzake wana muliza jamaa anakupa nini mpaka umetulia tu, ila ukikuta maskini mswazi akili inakuwa mbele dakika 10 mwanzo mwisho, ukipata anatulia kiaina, mungu akileta mtihani wa kipato kidogo anachanganyikiwa, umaskini noma