R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,578
Hongera zake kwa kujitoa.. Lakini baada ya muda atachoka
- View attachment 176016
Msichana huyu wa kihindi anaitwa Sarika Patel, na ameolewa na kijana wa kabila la Bukusu Timothy Khamala, jambo ambalo ni nadra sana kwa watu wa jamii ya kihindi. Kilichowashangaza wengi ni kwamba Sarika ametoka katika familia tajiri na kuamua kuishi maisha ya walalahoi kijijini
Atachoka au atakufa
Atachoka na kumuacha kwa ugomvi mkubwa sana
Na ole wake uyo mwanamke aaze kuumwa ndo atajua kama mapenzi pesa
Hata mi nasubiria