Mapenzi sio pesa ona hii

Asssss kweli.kila mtu amepangwa na wake
 
Hivi kumbe hii picha ya harusi ni ya kweli nilizan ya kutengeneza. Hongera zao.
 
Uuuuwwiiiii! Wanawake tunaujasiri wa ajabu!!
 
Daaah! Nafikiria sipati jibu! Hivi dushee ya jamaa sijui itakuaje kuaje? Halafu romance ? Mmmh sielewi.
 
Aisee kumbe wameshapata mtoto tayari[emoji132]
 
Muonekano wa nje, hauna nafasi hata kidogo kwenye Upendo wa kweli..
Ukipendwa kwa sababu ya muonekano,
Utaachika kwa sababu ya muonekano.
Maneno yako ni ya kifalsafa..kwamba muonekano uliomvutia mtu ukibadilika aliyevutika naye anapoteza mvutiko..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…