Jamani wake wenye waume muinuke mkatafute ili ifike sehemu mwanaume akupende kwa akili yako,akuthamini kwa juhudi zako alipiganie penzi lenu kwa nguvu zote maana atajua kukukosa wewe ni kuikosa Dunia
Pamoja na urembo wangu nipo Kilindi Tanga maporini huku tangu asubuhi ya leo nacheka na mbigili tu wasalimieni wana Darisalama wala bata
watoto watakoma kuzaliwa na mama mgumu wa shilling
nikitoka hapa lazima Yule bwana anibebe kwa mbwembwe zote na mapenzi motoo Thanks Allah Tanga haijawahi kuniacha uchi
Sent using
Jamii Forums mobile app