ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,861
- 131,831
Sasa mbona hujataka tuone urembo wako LadyAJ? We unatuonyesha mbatata tu[emoji12] [emoji12]Jamani wake wenye waume muinuke mkatafute ili ifike sehemu mwanaume akupende kwa akili yako,akuthamini kwa juhudi zako alipiganie penzi lenu kwa nguvu zote maana atajua kukukosa wewe ni kuikosa Dunia
Pamoja na urembo wangu nipo Kilindi Tanga maporini huku tangu asubuhi ya leo nacheka na mbigili tu wasalimieni wana Darisalama wala bata
watoto watakoma kuzaliwa na mama mgumu wa shilling![]()
nikitoka hapa lazima Yule bwana anibebe kwa mbwembwe zote na mapenzi motoo Thanks Allah Tanga haijawahi kuniacha uchi![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika jamaa akianza kula mzigo atakubeba hadi mikono iote vigimbi[emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]