Mapenzi sio kulala tuu

Mapenzi sio kulala tuu

wengine waume zetu watupenda tukikaa ndani mana sisi ni mapambo...na kufanya kazi kwetu sisi ni haram....kazi zetu zaishia majumbani tu hadi raha...hata sokoni aenda bwana,akirudi mie ndo nichukue vitu nipike...mwaka wa 10 huu tunafunga...
 
Khaaa.. Hii kitu inawezekanaje dada.
 
wengine waume zetu watupenda tukikaa ndani mana sisi ni mapambo...na kufanya kazi kwetu sisi ni haram....kazi zetu zaishia majumbani tu hadi raha...hata sokoni aenda bwana,akirudi mie ndo nichukue vitu nipike...mwaka wa 10 huu tunafunga...
Hongera ila akifa huyo jiandae kulia mpaka kujikojolea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wa kwako akifa hutolia? au humpendi?
Ninampenda na kinachonifanya nimpende zaidi ananionyesha njia ya kupita hata pale asipokuwepo! Hataki tuje tudharirike hapo baadae kwa kushindwa kulipa school fees au kushindwa kupata chakula cha uhakika mezani,anataka kuona familia haikosi kitu hata asipokuwepo! Hataki kutuona Mimi na watoto tunamkufuru M/Mungu mara pale atapomtwaa mja wake. Bado nakupa pongezi kwa kuletewa ndani Hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninampenda na kinachonifanya nimpende zaidi ananionyesha njia ya kupita hata pale asipokuwepo! Hataki tuje tudharirike hapo baadae,anataka kuona familia haikosi kitu hata asipokuwepo! Hataki kutuona tunamkufuru M/Mungu mara pale atapomtwaa mja wake. Bado nakupa pongezi kwa kuletewa ndani Hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
anha hubby wangu pia namshukuru hata asipokuepo ntaishi vizuri hadi ntakapoungana nae mbinguni
 
Back
Top Bottom