aah! huyo alikuwa -----, bora ulimkomesha. siku nyingine nawe uangaliage na watu wa kuwa nao kwenye uhusiano. kama unaona si mtu mnaendana kitabia, tupa kule mapema kabisa.nilikuwa willing kwakuwa anajifanya mlokole, acha ambao hawajaokoka wamsaidie........!!!!!!
ndo mizan hapa, tunaangalia uzito, age, lesen, pia tunapima oil kama ipo safi, then tutakuruhusu kupita katika hili jukwaa."zimwimtu ukaguzi ni mizani ati......we unakaguaje ili nijue kabla ya kukataa au kukubali
aah! huyo alikuwa -----, bora ulimkomesha. siku nyingine nawe uangaliage na watu wa kuwa nao kwenye uhusiano. kama unaona si mtu mnaendana kitabia, tupa kule mapema kabisa.
ha ha ha...., u ar welcome. naona siku ishakuwa nzuri hii. shiiiiiiiiiiiii....., angalia preta asijue.naona kama naendana na wewe vile.....!!!!!!!
mkizungushwa maneno.....mkipewa haraka maneno!!!!!!!!
hivi mnatakaje??????????
ha aha ha aha aaaaaaaaaaaaaaaaaah.............umenichekesha sana wewe mdada!! ila kukubali siku 1 ki ukweli kwa sisi wanaume tunaojitambua hatuwezi kuwa na wewe in future na ukisumbua sana hatuna muda pia wa kukufatilia but unatakiwa usikubali wala kukataa hata ndani ya wiki then ndo unaonyesha kama unaanza kupenda then ndo imakuwa mpango mzima!!!
KUMBUKA USINIKUBALI HARAKA!!
Mkuu BAK, asee asante kwa kunipa nyenzo muhimu kwa kipindi hiki tete nachojiandaa na presentation. Kijijini tulikuwa tunakaririshana mistari ya kuflow, bahati mbaya uulizwe swali flow iharibike, inabidi utoe visingizio kibao ili ukajipange upya na presentation yako. vinginevy una-carry. Ndio najifunza vya kimjini mjini,,, Hahaaaaa.
Treasure, honey, sugar Evelyn Salt, your understanding is my motivation. Hahaaaa! LoL!!!
mkizungushwa maneno.....mkipewa haraka maneno!!!!!!!!
hivi mnatakaje??????????
Nimekuelewa Zamaulidi sasa kama mtu na wewe unampenda ya nini kuwa kumzungusha
wakati unajua kua hata mkikaa mwezi the answer will be the same
sasa mbona mkikubaliwa haraka unamwona kama vile muhuniii??!yaani ji mtu akianza oooh nikafikirie ajue ndo simtafuti tena
sasa mbona mkikubaliwa haraka unamwona kama vile muhuniii??!
Au wewe unakutana na machangudoa unasema ni hivyo kwa kila mwanamke?kuna katabia siku hizi unakutana na demu na siku hiyo upata penzi.je ni kwenda na wakati au urahisi wa dada zetu.coz anayetongoza ni mwanaume.