huyo aliyekuwa anatongoza kwenye daladala alikuwa anatengeneza mazingira ya siku nyingine!lkn aliyekuwa anatongozwa kashadadia pale pale!!du...huyo alokuwa anatongoza kwenye daladala alikua anategemea nini.......,
na kama mwenzake alikua na ugwadu ya nini kujivunga.....,
huyo aliyekuwa anatongoza kwenye daladala alikuwa anatengeneza mazingira ya siku nyingine!lkn aliyekuwa anatongozwa kashadadia pale pale!!du...
ha ha haha....., pole yake! lakin we ulikuwa willing kumpa ishu au alikuona binti wa heshima akawa anaona noumer kukuomba mzigo!kwanini niongee kitu nisichokijua? teh akili kumkichwa......!!!!!
nshawahi kuwa na bf akawa anajifanya hapendi ku do(najua alikuwa anajishaua tu ni muhuni wa kichini chini)
kazi yake kuninunulia maua(sijui mie nyuki), na kadi .....
nikawa napokea tu huku nakula zangu vichwa pembeni, ye namuangalia tu inapita hata miezi sita hajauona.....
kuna katabia siku hizi unakutana na demu na siku hiyo upata penzi.je ni kwenda na wakati au urahisi wa dada zetu.coz anayetongoza ni mwanaume.
Tupite mwayego...hapatufai hapa..haha!
hakuna njia hapa, simama ukaguliwe
ha ha haha....., pole yake! lakin we ulikuwa willing kumpa ishu au alikuona binti wa heshima akawa anaona noumer kukuomba mzigo!
Hapa ni pa wakubwa hapaatufai sisi bado hatujakua
Bado sana ila wanatufundisha tule pipi siku ya kwanza!
Siku ya kwanza nikimvua tule tukamba huwa kama namuacha naanza kucheka kwa furaha mie mtoto wa Ambangile!
Sista du kushika live kalio lake siku ya kwanza kuna raha yake bana
Hahaha wewe unapenda ipi?ile ya siku ya kwanza au ya kusubiri sana?
Mhhhh! Sina jibu, kwani wewe unapendaje?
Mrembo by NatureMimi mambo hayo sijawahi, ninasubiri nifanye siku ya ndoa teh teh
Mrembo by Nature
mimi pia nasubiri siku tukiambiwa 'kwa raha na shida, uzima na magonjwa, hadi ......itutenganishe' ila nina swali, bwashe anakula kuona tu?
Hahaha ankula ugali kwa picha ya mperege
Hahaahaa! Umenichekesha.
Mshamba wa kei ww ha ha ha ila ndo mlivyo kina ambangile wengi waporipori