Mapenzi siku hizi ni kama bluetooth.

CHIPANJE

JF-Expert Member
May 1, 2011
321
53
Mahusiano ya kimapenzi nafananisha na bluetooth: IT CONNECTS WHEN IT STAYS CLOSE BUT WHEN YOU ARE FAR IT FINDS FOR NEW DEVICES.
 
Marudio. . .

Hata hivyo sio kweli. . . bluetooth haiwezi kutafuta new device bila mtu kutaka na kuielekeza ifanye hivyo.

Tatizo sio mapenzi, tatizo ni watu.
 
Marudio. . .

Hata hivyo sio kweli. . . bluetooth haiwezi kutafuta new device bila mtu kutaka na kuielekeza ifanye hivyo.

Tatizo sio mapenzi, tatizo ni watu.

Sasa mapenzi yanakua drove(endeshwa)na nan?
 
Marudio. . .

Hata hivyo sio kweli. . . bluetooth haiwezi kutafuta new device bila mtu kutaka na kuielekeza ifanye hivyo.

Tatizo sio mapenzi, tatizo ni watu.

We Lizzy huwez kuelewa kirahisi lugha ya kisayans hyo.
 
Back
Top Bottom