Mapenzi si pesa

Mapenzi si pesa

Nachojua mimi ngono au zinaa inahitaji pesa ila kupata anayekupenda haihitaji hela
 
Siyo kweli Mapenzi ni pesa na uwe unajua kuchakata Mbususu kisawasawa.
 
Mkuu kama alikua hakubanii mbususu..mwache aende kwa amani
 
Mapenzi sio pesa,
Ila zikikosekana mapenz hupungua
 
Angalizo
JamiiForums-2115072923.jpg
 
Safi sana mkongo..washauri wenzio pia wawe hivyo sio kila siku wanalelewa na mijimama kisa wana tumiti shamba(jokes)
 
Mimi sijui kama kipo halisi cha kupendwa ni kupewa pesa siamini katika ilo ila najua mwanaume akitaka kukupata yupo radhi kutumia pesa zake ili akupate na akutumie na akuache naamini katika ilo
 
Ndivyo ilivyo.
Mambo ni 50/50
Ndio tujue nunu pekee haitoshi kukeep mahusiano. Vivyo kwao pesa pekee hazitoshi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom