Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,029
- 61,933
Ongeza wa 3 basiii kwisha jeuri yaoo
ha ha ha ha wananitosha haoOngeza wa 3 basiii kwisha jeuri yaoo
ha ha ha ha si madudu mkuu,mbinguni hakuna hizi hudumaNgoja kwanza funga zetu zipokelewe kisha tutarudi tena kuanza kushauriana madudu
Mkuu kuna ''maandiko" yanasema kule watakuwepo wengi saana na uume utasimama kwa muda mrefu bila kukoma.ha ha ha ha si madudu mkuu,mbinguni hakuna hizi huduma
Ha ha ha haMkuu kuna ''maandiko" yanasema kule watakuwepo wengi saana na uume utasimama kwa muda mrefu bila kukoma.
ha ha ha limefanyaje mkuuBaraza La Idd
Nilishaoa mkuu....na hao pia wanaelewa nilishaoa ila ni katika ile hali ya ke ni wengi kuliko meUmeshaoa?
Hao wawili ni michepuko tu?
Nilishaoa mkuu....na hao pia wanaelewa nilishaoa ila ni katika ile hali ya ke ni wengi kuliko me
ha ha ha ha wanaamini ukiweza kumtunza mkeo vizuri, na wao pia unaweza kuwatunzaSishangai hilo, maana vitabu vya Mungu havisemi uongo.
Hata hiyo idadi bado ndogo. Watakuja hata 6 wakijua una mke lakini na wao watahitaji kuolewa ilimradi tu waitwe wake wa flani.
ha ha ha ha haya mambo mkuu hayanaga utakatifu;hata wale unaowaamini huwa na wapembeniNahisi sijaelewa yaan u r proud kabisa au?
ha ha ha ha haya mambo mkuu hayanaga utakatifu;hata wale unaowaamini huwa na wapembeni
Type tu mkuu hakuna shida,tunashea uzoefu piaKuna kitu nataka kusema lkn mikono imegoma kutype aisee