Mapenzi si mabaya.. hebu acheni kuzua..
Hivi hamuoni haya..eti mapenzi yanaua..
Nipo chini ya himaya.. polepole naugua..
Wazuri niwengi ila kwako nimetua.
Mapenzi si mabaya.. hebu acheni kuzua..
Hivi hamuoni haya..eti mapenzi yanaua..
Nipo chini ya himaya.. polepole naugua..
wazuri niwengi ila kwako nimetua.