Wa mguu ndani mguu nje utawajua tu!
Ukiamua kupenda penda hasa mwaya,akizingua unakaa pembeni unaanza kukumbukia the good old days!
Penda kidogo na usipende mmoja hapo utafurahia maisha, akikusumbua suzy,unahamia kwa agnes and agnes akisumbua hamia kwa nina maisha yataenda pouwa but hakikisha wote umekwenda nao angaza na hata km wapo poa tumia kinga si unajua mitandao tena....