Mapenzi noma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi noma!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ilonza, Jun 21, 2011.

 1. I

  Ilonza Senior Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuna rafiki yangu anampenda dada mmoja, akijalibu kumjengea mazingira anamukwepa. Alishajua anampenda la kushangaza alianza kwa kukata simu zake, siku hizi amebadilisha laini. Sijui nimshauli je ili ampate. Nina pata utata.
   
 2. S

  Sweetlol Senior Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mh!mpe pole nnajua inavyouma.ila asikate tamaa angalie labda ane mtu mwingine ndo maana,.na akishagundua no way atafute kwingine,.nau dayz kubembeleza sana sio issue
   
 3. I

  Ilonza Senior Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Thanks
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mtu kabadilisha mpaka line bado anahangaika nae?!Aangalie tu asije akaitwa stalker!!
   
Loading...