Mapenzi noma... Mapenzi ya uizi matamu. Mwisho wake nini???

Mapenzi noma... Mapenzi ya uizi matamu. Mwisho wake nini???

haha haaaaaaaa Suprise yani iiii leo wameamua mbona. Ila hapa imekaa ki utani utani flani kama sio kweli lol.
Huyo wa rohoni ana lake jambo ati!

yani watu wamechukua vya watu hafu wanajua na bado wanakwambia wanashindwa kuwaachia, wakati kina mzabzab na masenior bachelors wengine wamejaa,
I have got a permanent solution now
Kila senior bachelor aje achukue jiko na tukomeshe hizi thread za kuchukua waume za watu,changes begins with u wakaka,
Eti come this way MKATAKIU, Prisoner 46664,mzabzab na nyie senior bachelor wengine njooni huku muokoe jahazi msaidie kuzilinda ndoa za wasio na hatia
 
Jamani wewe kumbe hujui hizi ndoa zetu za kanisani.ingekuwa nje wange devorce ila kwa mila na makanisa yetu ukililia talaka watu wanakushangaa.hivyo watu wanabaki na ndoa huku ndani hakuna mapenzi na mwisho wa siku ni kama hivi cheating.
 
Acha kumegwa megwa ovyo ww tunza heshima yako na ya mumeo
 
Nimeolewa na yeye kaoa.....
Ila mme wangu hatuivi kabisa na yeye mke wake tofauti kabisa
"Have mercy on me, O God" unajina zuri sana na kweli MUNGU AKUHURUMIE but you should change, badilika mpende mumeo na muive naye ndo uliyefunga naye agano sari Mungu atoe pepo hilo!
 
Kupenda mume wa mtu aliyekupenda mpaka mwisho kuna namna ya kuzuia? au tuache nature itimize mapenzi yake........... Jamani huyu mwanaume hataki tuachane...... Nampenda.
:israel::crazy:


hataki mwachane au hutaki kuachana naye, hueleweki weweeeeeeeee
 
Hivi kumbe zilipungua hadi 39? mbona naskia ziliongezwa hadi 60? eti anauliza mwisho wake nini as if hajui mwisho wake?? Ngoja aje kukatwa maziwa ndio atajua

kwa sisi Christians ni kosa kubwa sana, halafu ni aibu mi nashangaa mtu anaongea tuu kuiba mume wa mtu as if ni sifa duuu kweli dunia imeingia mfumo wa digital
 
duh mm ninachoweza kusema ni kwamba tu aheshimu mke wa jamaa asije akaanza kutukana au kujigamba mke ni mke tu, na hao wanasema kuwa atafute mwanaume alie single itakuwaje wakati yeye ni mke watu na huyo baba ni mume watu, single kwa single mwenzie bwana.
 
Ni kweli kabisa watu siyo wazinzi kivile hadi kuwa na mke au mume wa mtu ila chunguza utaona ndani ya ndoa zao kuna tabu kubwa sana, kama binadamu unafikiri cha kufanya unasema ok nitoke nje, siyo vyema na mungu atusamehe
 
Back
Top Bottom