Mapenzi niue

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,761
Umewahi kusuuzwa roho ikasuuzika au umewahi kupendwa mpaka ukashindwa kuhema ?
Sasa mapenzi nikitu kingine usiombe upendwe.
Mapenzi ni raha mpaka unasahau mpangilio wa siku unaweza kuuliza watu leo lini?
Kisa unasuuzika moyo ukifunga macho unaona mabusu na madimlight mekundu ya mahaba yanapita.
Kimya si kimya bali hata jforum watu wamesahau
Kisa kupendwa.
Haloo mapenzi si pesa bali upate anayekupenda mchana mwema.
Kuna usemi usemao mpende akupendaye asiyekupenda achana. Naye.
 
Huu uzi utakuwa umeanzishwa na jinsia tofauti na ya kiume, hakuna mwanaune mwenye mawazo kama hayo hapo juu.
 
Hongera kwa kupendwa
 
Koma mimi ni mke sio mme dah Madam S ni rafiki yangu tu ninayemkubali
sawa nimekomaa lakini me nampenda madame si wewe kumpendwa na madame hukuelewa tu

sorry kama nimekuudhi

yote hii ni sababu yako babe....don do vile i love you Madame S
 
sawa nimekomaa lakini me nampenda madame si wewe kumpendwa na madame hukuelewa tu

sorry kama nimekuudhi

yote hii ni sababu yako babe....don do vile i love you Madame S
Namba yake ni hii hapa 0000046 namba ya Madam S
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…