Mapenzi ni umasikini mtupu?

Pole sana mkuu kwa kuumizwa na huyo manzi. Hauko peke yako kwenye hili. Karibu kila mwanaume kashawahi umizwa na mwanamke kihisia. Tafuta mwanamke mwingine uendelee na safari.
 
Shetani hapa umenena vyema kbsa
 
Kama mashetani wote wanabusara hivi, Bora kwenda kuzimu kuliko mbinguni
 
Atakua amefeli form 4, yupo nyumbani hana kazi zaidi yakujiangalia kwenye kioo akitukuza weupe wake. Ndo kaamua aje atusumbue huku
Hivi mwanaume kweli unaweza kutembea na kioo cha kujiangalia kila wakati ?? Vijana wa 2000 ni zaidi ya matatizo mtu kama huo hawezi ndoa lazima akimbie kwasbb ana ragi na tabia za kike wstawezana je na mwanamke mwenzie?
 
Shetani mbona unatuelekeza vizuri binadamu SHETANI GANI WEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…