Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,111
Am one of themThis country is full of horny citizens
Mi napenda utotoSalam wana JF,
Mapenzi pasipo kuwa na muda wa kucheka pamoja,kuongea Kwa pamoja na kufurahia mahaba Kwa pamoja ni sawa na Jela ya kujitakia mwenyewe.
Hamna mapenzi BIla mahaba.Cha ajabu Kuna wanawake Bado wanaamini kuwa haya mahaba ni utoto au ujinga.
Nipende tu kusema kwenye mahaba Kila mtu anakuwa mtoto.Pale mtu unapochat na Mwanamke na ukianza kuingiza story za mahaba anasema uache utoto.Ni Bora tutafute watoto watakaoelewa utoto wetu kuliko kuwa na watu wanaowaza ujenzi wa bara bara muda wa kufanya mahaba na kujitetea kusema ni utoto na ujinga na UPUMBAVU.
Swali Moja tu Kwa hao wanawake kama mahaba ni UPUMBAVU wao walizaliwaje BIla huo upumbavu?Kama walizaliwa Kwa huo upumbavu basi wao ni wapumbavu wakubwa Sana.
Me too, lets make a good doodoo sweety šššAm one of them
Katika wale maadui watatu WA taifa kaongezeka WA nne UPWIRUš¤£š¤£š¤£This country is full of horny citizens
Fr[emoji23][emoji23]This country is full of horny citizens
š¤£š¤£š¤£š¤£Poor Tanzanian citizen!This country is full of horny citizens
Tuchape kazišM
Maoni yako kiongoziš
Upo silious umekomaaa unapenda fake id aka mapalody kweli?? hayo ni matumizi mabaya ya upendokuna mtoto wa mtu nampenda humu ila kumuambia sasa ndio siwezi"domo langu zito"
ninampenda hivohivo na fake ID yake[emoji28]Upo silious umekomaaa unapenda fake id aka mapalody kweli?? hayo ni matumizi mabaya ya upendo