J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,069 Reaction score 5,556 May 20, 2012 #21 Asprin said: Hivi leo ni jumangapi? Mapendo... Daima! Click to expand... Leo ni siku ya kwanza ya juma kwa mjibu wa Baba wa Mbinguni, lakini pia ni siku ya saba kwa mjibu wa Shetani.
Asprin said: Hivi leo ni jumangapi? Mapendo... Daima! Click to expand... Leo ni siku ya kwanza ya juma kwa mjibu wa Baba wa Mbinguni, lakini pia ni siku ya saba kwa mjibu wa Shetani.
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,392 Reaction score 96,718 May 20, 2012 #22 Kadakabikile said: Leo ni siku ya kwanza ya juma kwa mjibu wa Baba wa Mbinguni, lakini pia ni siku ya saba kwa mjibu wa Shetani. Click to expand... Ahaa! Kwahiyo kwa kifupi leo tunaruhusiwa kunywa bia siyo?
Kadakabikile said: Leo ni siku ya kwanza ya juma kwa mjibu wa Baba wa Mbinguni, lakini pia ni siku ya saba kwa mjibu wa Shetani. Click to expand... Ahaa! Kwahiyo kwa kifupi leo tunaruhusiwa kunywa bia siyo?
J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,069 Reaction score 5,556 May 20, 2012 #23 Asprin said: Ahaa! Kwahiyo kwa kifupi leo tunaruhusiwa kunywa bia siyo? Click to expand... Nukuu toka Bible, "Ole wao walio hodari kunywa kileo chenye nguvu, watu waume wenye nguvu kuchanganya vileo"
Asprin said: Ahaa! Kwahiyo kwa kifupi leo tunaruhusiwa kunywa bia siyo? Click to expand... Nukuu toka Bible, "Ole wao walio hodari kunywa kileo chenye nguvu, watu waume wenye nguvu kuchanganya vileo"
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 May 20, 2012 Thread starter #24 Kadakabikile said: Leo ni siku ya kwanza ya juma kwa mjibu wa Baba wa Mbinguni, lakini pia ni siku ya saba kwa mjibu wa Shetani. Click to expand... pokea malike ya kufa mtu Kadakabikile Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kadakabikile said: Leo ni siku ya kwanza ya juma kwa mjibu wa Baba wa Mbinguni, lakini pia ni siku ya saba kwa mjibu wa Shetani. Click to expand... pokea malike ya kufa mtu Kadakabikile