Giver2020
Member
- Jun 7, 2016
- 48
- 15
Wana Jf! Napenda kuuliza ila samahani kama hii ilishawahi kupostiwa hum! Ivi ikiwa unampenzi lkn mpenzi huyo anakwambia ninakupenda sana na unaweza kuxema chochote naweza kuku fanyia lkn kuhuxu Mapenzi hilo kwangu haliwezekani! Na wewe unampenda xana, sasa huyo binti utafikili ana Mapenzi ya dhati kwako au ndo wale wakuchuna 2