Mapenzi ni pasua kichwa. Siamini

Akakushika bega Mara mimba
Kwahuruma Sana mtafunga ndoa
Akakushika kwato round hii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwahyo mimba ilikaa miaka mi3 inasubiri ije ikutane na ww sio

chai ya moto kabisa hii
 
Kwahiyo hiyo mimba ina miaka mitatu.
 
Mbona hueleweki hiyo mimba ilidumu kwa muda wa miaka mitatu toka mmeachana au badala ya kukushika bega ndo akapata mimba yako kama anavosema sijakuelewa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] FJ raha sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mbona hueleweki hiyo mimba ilidumu kwa muda wa miaka mitatu toka mmeachana au badala ya kukushika bega ndo akapata mimba yako kama anavosema sijakuelewa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah,
 
...polee sanaa apo bro itabidi ustuke tena kama pale alipokushika begaa..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…