Mapenzi ni nini?

Mapenzi ni nini?

Mwanamke anapodiriki kukuonyesha kitu chake cha siri na mkakitumia kwa raha zenu hayo ndiyo mapendo halisia
 
Globalization changed everything kwa wakati tulio nao mapenzi ni kitendawili kizito Sana mkuu yaani yanagusa sehemu tofauti tofauti
Lakini mkuu mbona hata kabla ya huu utandawazi mababu zetu walikuwa wanalalamiki kuhusu jambo hili hata ukisikiliza nyimbo za kipindi hiko
 
Mapenzi ni ubinafsi tuu wa hisia za watu wawili tofauti, nikiwa na maana kwamba kila mmoja atafanya kitu kwa mwenzake akitegemea na yeye kulipwa kwa mazuri hayo aliyofanya, ukitaka kujua mapenzi ni ubinafsi , muandikie mtu unayempenda ujumbe asipokujibu basi roho yako itaumia sana,au akujibu tofauti na hisia zako zilivyotaka utajisikia vibaya sana ,Na ndio hapo sasa tunasema ubinafsi , kwanini unategemea mazuri kwa mwenzako?, Kifupi mapenzi ni ubinafsi kila mmoja anataka kupata kitu kwa mwenzake.
 
Eti Joanah unakubaliana na hili?
 
Lakini mkuu mbona hata kabla ya huu utandawazi mababu zetu walikuwa wanalalamiki kuhusu jambo hili hata ukisikiliza nyimbo za kipindi hiko
Ila sasa Hali ni mbaya kuliko zamani
 
Mapenzi ni set au furushi lenye; 1.Kusemana kusikiliza. 2. Kutoa na kupokea 3. Kujali na kuthamini. Yote hayo ama hutokea kwa mtu kumtendea mtu kwa dhamira au bila kudhamiria. Nichukue fursa kudadavua la kusema na kusikiliza; Aliendani ya mapenzi,ana tofauti kubwa katika kusema na yule ampendae,kadhalika kusikliza kwa mwenye mapenzi kwa asemae kuna tofauti ....aah muda hautoshi,baadae.
 
Haya tulale.
Usiku mwema kulwa, upate njozi tamutamu.

Hapo kwenye njozi tamu tamu pamekuwa kinyume

Nimeota yule ex wangu aliyeniachaga ameoa eti....japo kiuhalisia nikisikia ameoa haitaniuma lakini kwenye ndoto nimeumia kinyama
 
Hapo kwenye njozi tamu tamu pamekuwa kinyume

Nimeota yule ex wangu aliyeniachaga ameoa eti....japo kiuhalisia nikisikia ameoa haitaniuma lakini kwenye ndoto nimeumia kinyama
Kuoa jambo la heri eti. Hiyo ni ndoto tamu.
 
Mapenzi ni hisia baina ya mtu na mtu, mtu na kitu au mtu na hali. Hisia hizo huongozwa na nguvu zisizoonekana kwa macho ambazo huvuta au huvutana na kukamilisha jambo ambalo muhusika hutulizwa au kupendezwa nalo.
Kwa tafasiri isiyo sahihi, wengi wanatafasiri mapenzi kama tendo la kujamiiana baina ya viumbe hai na hasa binadamu. Hii siyo tafsiri sahihi ya neno mapenzi.
Ikiwa unatulizwa na hali ya hewa nzuri basi una mapenzi na hali ya hewa, ikiwa unatulizwa na kufurahia kucheza draft basi una mapenzi na mchezo huo. Kwa ufupi mapenzi ni upendo.
Naomba nikuweke sawa kidogo, Kwa vitu ambavyo havina uhai ni "Upenzi" ila kupenda kunakoendana na uhai ndio "mapenzi"

Unaweza kuwa na mapenzi na mtu, mbwa, paka nae aka reciprocate ule upendo. Mapenzi yanaendana na ujazo wa hisia baina ya mtu mmoja na mwengine.

Ila Gari, Pombe, Draft, nguo unakuwa na upenzi navyo tu. Upenzi unaendana na burudani ya nafsi.
 
Mapenzi ni mahusiano baina ya mtu na mtu au unaweza sema ni upendo wa kitu fulani, mfano utasikia uyu jamaa ni mpenzi sana wa muvi fulani hapo umenisoma
 
Love is anything that treats you like a child
Happiness flourishes and you enjoy

Suddenly turns into fire Brings sorrows and cries

Thin or fat whether you have money or not,
Anyone can love poverty doesn't limit love,️‍

Love is not a study that you can read in a book
Love made Harmonize fire Mwarabu,

Love brought fights over Diamond's children that he no longer sees them
He just ends up liking them on Instagram..

So Love Whoever Loves You️‍
Don't Love Whoever Loves You Not
 
Back
Top Bottom