Mapenzi ni nini jamani?

Mapenzi Ni hisia.

Kama huna hisia na mtu hata aweje huwezi ukawa na mapenzi naye.
 
Mapenzi Ni hisia.

Kama huna hisia na mtu hata aweje huwezi ukawa na mapenzi naye.
Kweli eeeeh?!!!hahahaaa!sasa jitu lingine lina wanawake au wanaume zaidi ya mmoja!
Hivi inawezekana wote hao at the same time!?
 
Kweli eeeeh?!!!hahahaaa!sasa jitu lingine lina wanawake au wanaume zaidi ya mmoja!
Hivi inawezekana wote hao at the same time!?
Hao hana mapenzi nao. Yuko nao kwa sababu flani anazozijua yeye.

Japo unakuta kati ya hao yupo mmoja ndo ana mapenzi naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…