Mapenzi ni nini jamani?

Mapenzi ni kumhonga mdada mzuri madini ya nchi nzima
 

Mapenzi ni kupendana ,kusaidiana,kuaminiana sasa wengine wanapingaga hapa kusaidiana wanasema wanachunwa ila ni wao wanaume ila kama nimwanamke ndio anamsaidia mwanaume hapo haacomplain.
Kwa hiyo hayo mambo matatu yanazaa mapenzii kama mpenzi wako hakufanyii haya matatu basi huyo hakupendii mnachezeana na ukisema mapenzi ni baina ya hao wawili sio baina ya mmoja kuchukua jukumu la wawili hao.
Nadhani umepata jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…