Mapenzi ni nini jamani?

Dah!mbaya sana hii!usiombe ikukute!

Binadamu sisi viumbe wa ajabu sana!
 
mapenzi ni upendo wa kimahaba baina ya mwanaume na mwanamke.
kwa mujibu wa wataalam hisia za mapenzi huratibiwa na ubongo wa mbele.
 
mapenzi ni upendo wa kimahaba baina ya mwanaume na mwanamke.
kwa mujibu wa wataalam hisia za mapenzi huratibiwa na ubongo wa mbele.
Mapenzi ya wazazi,watoto na ndugu je?
 
na yale mapenzi baina ya kaka na kaka, dada na kaka, kaka na dada, mama na mtoto au baba na mtoto?
mantiki ya swali lako ipo kwenye mapenzi ya kaka na kaka(jinsia moja),mkuu huo ni ujinga wa kima cha 0.00000... binadamu tunatakiwa tutambue kuna sheria mama za kimazingira mwanaume kwa mwanamke si vinginevyo.
hiyo ya kaka na kaka haitakiwi maana hata mazingira hayakuleta kitu ya namna hiyo.
 
Hatariiiiii!!!!!ujanja mfukoni
Ila tunajifunza katika hayo,.unajua kuna kipindi lazima upitie maumivu flan ambayo huja kukuimarisha kwa wakati ujao,...hata mapenzi pia ni vivyo hivyo japo ni tofauti kidogo kwasababu yanagusa hisia moja kwa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…