Si uliamua kudharau. Usitake mmoja akaponza wenzie wanaojiheshimu. Endelea kumdharau mpaka ajione mjingaKichaa changu karibu kinanipanda....
Nafikiria kuanzisha uzi wenye orodha ya majina ya niliowala.
Orodha hiyo itasheheni taarifa nyeti na za kina na ushahidi usiopingika.
Ngoja waendelee na chokochoko zao. Tutashindana kuonyeshana nani ni kichaa zaidi.
Hapatatosha humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa ucute ulee kaah
Usikute unamwa ka sababu ya kuliwa ?Niko hapa mie ni kukulwa na kukulana tu
Hivyo unavyotaka kufanya si nitakufwa mmNini Shualina?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Anataka watu waondoke JF mazimaMkuu..
Hahaa[emoji3][emoji3][emoji3] utaanzisha vita ya 3 ya dunia..
Mara paaaaap ulikula mke wa mtuu..! I hope wapo kwenye list pia
Kwakweli asubiri kidogo kwanza.Hahaaa!asubiri uliwe kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatujifichi ng'odo
Ujue hiyo picha kwangu imegoma kufunguka hivyo naemagine tu!!Ujaona bado macho acha tu jamani ukiona na kifua utakufwa
Auntie anataka kitenge ukiona comment kama hizi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana jamani siwezi kuumwa sababu ya kuliwa hivi naanzaje mbebez ninayeUsikute unamwa ka sababu ya kuliwa ?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Basi akae mbali na uzi huu lasivyo imekula kwako.Akakulwe na T tuu..
Mwingine atashushwa kishipa tuu
Imeshindwa funguka kwa sababu gani jamaniUjue hiyo picha kwangu imegoma kufunguka hivyo naemagine tu!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwa shwetwaniSakayo hapendi hizo mambo anaenda peponi sie acha tukulwe tu tumeshajichagulia njia yetu
Asubiri uwepo ndo atajeTobaaaaaaaaaa!! Dont do that bwana.
Mie nitakosa kwenye list utakuwa haujanitendea haki.
Hahaha vizuri unamjua mkweoAuntie anataka kitenge ukiona comment kama hizi.
Ewaaaaaa ndio njia yetu hiyo acha tukulwe tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwa shwetwani
Ameanza kuchagua. Sura ya baba wa mwisho nlikua mimi wengine mjipangeeMyuesiei huwa hachagui kabisa
Hahaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Anataka watu waondoke JF mazima
Ndo nyuzi nazoendana nazo shem [emoji23][emoji23]Majukumu tuu shem..
Mara moja moja hivi unaibukia kwenye nyuzi za kulana..afu unapotea tena [emoji3][emoji3][emoji3]