Mapenzi ni nini jamani?

Yaani kumbe nawe hukuuona!! Nikajua huko mbele ulicomment niliona nokia kakutaja. Sema sijaingia humu muda nikashindwa hata kuelewa nini kinachoendelea.
Sikuuona nilikua nabebishana na mchumba. Ngoja nimuulize Nokia nilikua nahusika nini na huo uzi mpaka kunitaja. Sema watu wanajimudu humu kutunga story
 
Hahahaa!alianzisha mdada?
Hapana, ulianzishwa na mwanaume, ten amember mkongwe wa jf akiwataka waache utoto na warudi jandoni. Waache jambo dogo wanalifungulia uzi wakati enzi zao wlihonga hadi vitz n ahawakutangaza. Wao wakiombwa voch atu wanatangaza na kutumiana picha za utupu walizowapiga wanawake. Kalikuwa kauzi katamuu sijui kwanini kalifutwa.

Iceman 3D na sumbai walikuwepo labda waje watwambie kwann ulifutwa.
 
Sikuuona nilikua nabebishana na mchumba. Ngoja nimuulize Nokia nilikua nahusika nini na huo uzi mpaka kunitaja. Sema watu wanajimudu humu kutunga story
Eti kuna kijana myuesiei alimkula binti wa kitanga akatangaza kuwa alimla kwa shida maana ananuka mdomo. Hebu nipe ubuyu basi
 
Hahahaaaa!wauresume jamani loooh!!
 
Itakua kuliKua na picha ndo wakaufuta. Nimesikitika kweli kuukosa huo ubuyu jamani
 
Yaani kumbe nawe hukuuona!! Nikajua huko mbele ulicomment niliona nokia kakutaja. Sema sijaingia humu muda nikashindwa hata kuelewa nini kinachoendelea.
Sikuuona nilikua nabebishana na mchumba. Ngoja nimuulize Nokia nilikua nahusika nini na huo uzi mpaka kunitaja. Sema watu wanajimudu humu kutunga story
Huyu Shunie mchoyo sana uzi wa ubuyu na mie nikatajwa hata kuniita kashindwa naishia kuambiwa tu na wengine matatizo yangu
 
Eti kuna kijana myuesiei alimkula binti wa kitanga akatangaza kuwa alimla kwa shida maana ananuka mdomo. Hebu nipe ubuyu basi
Ubuyu ukikupita inauma acha tu, ndio yaleee tulokuwa tunasema.
Hahaaahaa!loohh!hapa mate yanamwaikaaa
Kwakweli tumekosa uhondo hivi hivi.
 
Ni hisia tu, even love itself...it's feelings. And you know what's up with feelings, they're just like life. Hisia zinazaliwa, lakini at the end hisia zinakufa, you'd be so lucky to maintain your feelings to the same person for the rest of your life.
 
Hahahaaaa!!! Yaani nawe ubuyu ulikupita!! Nafut ushoga na wewe, shoga gani hatufaani nyakati za shida!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…