Unauliza kitu ambacho ni INVISIBLE !
Ukiwa mahakamani ukamjibu Judge/ Hakimu, "Niliua kwa ajili ya wivu wa MAPENZI"
Judge akisema ok huo/ huyo WIVU na MAPENZI be submited to the court, itawezekana ?.
Obvious hakuna awae yeyote atakaekupa uhalisia wa PENZI.
> Hata ukipeleka kesi hii Labaratory ni invisible .
> Peleka polisi walikamate Jibu unalo!
> Peleka jela walifunge ! Jibu ni lilelile !
Katiza maneno PENZI linabaki kutafsiriwa na moyo wa ANAEPENDA na si ANAEPENDWA.