Mapenzi ni kitu cha ajabu sana

Ndoa sio changamoto kama unavodhania hivo usiogope kuingia.
 
Wakuu salaam,

Tulipoanza mahusiano alikua ananiomba pesa sana bt tangu amefall inlove haniombi pesa tena na anataka attention yangu muda wote hadi naona kero tena.
Kwa hiyo unataka kutuaminisha wewe ni handsome Au?
 

Tena kwa kufanya puchu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…