WE Hudumia tu, kuna wadada wanatoka nyumba za kifahari ila wazazi wanakazana kuufuta umaskini na hawakazani kuwaremba watoto unaweza ukakuta mzaz ananunua nguo za watoto sikuku za x mass na pasaka tu hiz nyingne haangaikii, ndo kunawakat unataman uendane na fasion sasa unaboy kila mkikutana unanguo ya sikuku unafanya kuchange leo ya xmass kesho ya pasaka khaaaa! Alaf unawaambia marafk kuwa na boyfrnd yupo BOT, TRA, CRDB anamagari na nyumba juu,,, jaman iv si aibu kichwan unasuka kwa maden mtaan kisa upendeze na mkutanapo matembezi sifa ya kwanza apewae ya kukupendezesha ni huyo boyfrnd kumbe ukichunguza hata vocha hatumi,,..
Sasa acheni wawaombe ili wapendeze.