Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,368
- Thread starter
- #41
mkuu kuachwa kupo maana mwanamke ni binadamu mwenye maamuzi,mwingine anaweza kukuacha kisa hujamkissMwanaume mwenye akili timamu, zama hizi wazo la kuachwa uwe nalo (usiliseme) ili likitokea usiumie sana. REAL LOVE IS A SEASONAL HAPPINESS.
Pesa inakusaidia tu kusogeza muda.
^^