Mapenzi ni feelings bila hivyo hayadumu

Mapenzi ni feelings bila hivyo hayadumu

Mbele ya ankara feelings zinakuja bana...
Nyie bakini 18th century no money no feeling .....
Hata ukipendwa vipi utapewa game zile za kishkaji automatically feelings zakata....
Tafuteni hela ....
 
Na feelings huwa zinatengenezwa na zinabolewa hii inategemea pande zote......vilevile mapenzi yanasifa ya kukua fikiria enzi za babu zetu ili kuonyesha mapenz walikuwa wanafanya mambo tofaut sana na tunayoyafanya sasa hivi..So sijui baada ya miaka 10 ijayo tafsir ya mapenz itakuwa ni nin?
mkuu kwakweli baada ya miaka 10 sielewi tafsiri ya mapenzi itakwaje,leo naangalia tu picha ya girl online nakuwa nimeridhika tunakutana tunashiriki kila kitu,sasa baada ya miaka 10 itakwaje
 
sasa wallet ikizingua baadaye si utaachwa tu,balaa

Mwanaume mwenye akili timamu, zama hizi wazo la kuachwa uwe nalo (usiliseme) ili likitokea usiumie sana. REAL LOVE IS A SEASONAL HAPPINESS.
Pesa inakusaidia tu kusogeza muda.
^^
 
Mi swali langu huwa ni moja tu: JE, UNAWEZA KUMPENDA MTU BILA SABABU YOYOTE?" Yaani wewe unaweza kumpenda tuu mtu bila condition..?
 
Mbele ya ankara feelings zinakuja bana...
Nyie bakini 18th century no money no feeling .....
Hata ukipendwa vipi utapewa game zile za kishkaji automatically feelings zakata....
Tafuteni hela ....
haya bhana fukuzieni ankara
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kuna ukwel fulan apo km pesa malaya kila siku wanapewa na figure tofauti lkn je wana mapenz na hao malaya wenzao. Mbona maskin kwa maskin wanadumu ndoani mpaka kifo. Pesa ina nafasi yake na feelings pia ina role yake katika mapenzi. Watch out

Umewahi kuona maskini akipata?????
 
Mi swali langu huwa ni moja tu: JE, UNAWEZA KUMPENDA MTU BILA SABABU YOYOTE?" Yaani wewe unaweza kumpenda tuu mtu bila condition..?
mkuu inawezekana sana
 
Hapo umeongea mimi wangesema wenye pesa hawatendwi ningeamini pesa ndo kila kitu lakin wenye pesa ndo wanachapikiwa kuliko hawa wasionazo

Na hiyo ndio point...watu hawajui hata wanachotaka ni nini...ndio maana maisha yao yanakuwa miserable...
 
Na hiyo ndio point...watu hawajui hata wanachotaka ni nini...ndio maana maisha yao yanakuwa miserable...
ila haya mapenzi yanaumiza vichwa,hata wajue wanachotaka,ndo hao na house girl na house boy,dah umiza kichwa
 
Back
Top Bottom