Mapenzi ni asali, ni shubiri, vaa moyo imara

Mapenzi ni asali, ni shubiri, vaa moyo imara

you can imagine anataka kunipangia comment gani ni-like na ipi nisi-like,
we mgongee like tu aone raha. roho imemuuma sana, amerudia mara tatu!
Kwani yeye akuona ulikimbilia kujibu kitu ulicho kihisi tu katika halmashauri ya ubongo wako ambacho kimsingi sicho.
Katika like zako zote toa moja

Kama Zangu pumba, point zako randa za mbao. Sijui yeye ni She or He. Kama ni He Avarta imemchanganya

Mokoyo umempa Like Mwali wakati amechemsha mbaya. Neno ujawahi linaweza kuwa
Ujawahi
Kupendwa,
Kupenda
na kadhalika
 
Kwani yeye akuona ulikimbilia kujibu kitu ulicho kihisi tu katika halmashauri ya ubongo wako ambacho kimsingi sicho.
Katika like zako zote toa moja
umesha pata hela? Au hujaenda?

Kama Zangu pumba, point zako randa za mbao. Sijui yeye ni She or He. Kama ni He Avarta imemchanganya

Mokoyo umempa Like Mwali wakati amechemsha mbaya. Neno ujawahi linaweza kuwa
Ujawahi
Kupendwa,
Kupenda
na kadhalika

Hapa ni chupa na kizibo. hapa hamna watu kuna viatu
 
It takes a long time to really get to know a person. watu wengi tunakuwa mislead by what we see in the beginning inakuja kutucost baadae after the what u expect na wot u get is different.
When a relationship is new, people tend to be on their best behavior. hivo hatutakiwi ku focus only on the positive side,we should try kujua weakness,limitation na bad habits!!!!!!!!!!!!

A person may be quite different after the relationship is established au baada ya ndoa
You need to see the person clearly, the good and the bad ili ikitokea uwe tayar aware!!!!!!
well said.
 
Back
Top Bottom