Mapenzi ni asali, ni shubiri, vaa moyo imara

Mapenzi ni asali, ni shubiri, vaa moyo imara

Mokoyo umempa Like Mwali wakati amechemsha mbaya. Neno ujawahi linaweza kuwa
Ujawahi
Kupendwa,
Kupenda
na kadhalika
Nimepewa like imekuumaaaaaa, maskini
mbona una mawivu ya kijinga? una mimba?
 
Siwezi kuuliza kila kitu wakati context ipo wazi kabisa
Ikiwa unataka kuleta wazo nje ya mada tunayo jadili
it is up to you kusema kua neno fulani linamaanisha nini
otherwise nitalisoma in the light of the discussion at stake
Inasikitisha SANA kua unaweza kuongea na member wa JF
hunijui, sikujui, na uka-extend speculations to an entire tribe
piece of advice: Stay away from speculation, stay away from generality

Get my full advice: “Your mind is your great friend, if you control it.
But,
“Your mind is your great enemy,
If you don’t control i
t…!
 
Get my full advice: "Your mind is your great friend, if you control it.
But,
"Your mind is your great enemy,
If you don't control i
t…!
hahahaha, how deep! no doubt, you are the author of this quote!
 
hahahaha, how deep! no doubt, you are the author of this quote!

Hivi wewe si ndiye uliyeandika humu Jf umfahamu Magwea, mbavu zangu miye.
Ngoja nikushauri tena
REMEMBER :
No matter how bad you are,
You are not totally useless….
You can still be used
as a
"BAD EXAMPLE"



 
Hivi wewe si ndiye uliyeandika humu Jf umfahamu Magwea, mbavu zangu miye.
Ngoja nikushauri tena
REMEMBER :
No matter how bad you are,
You are not totally useless….
You can still be used
as a
"BAD EXAMPLE"



Simjui, narudia tena simjui! yeye alikua ananijua?
Tatizo lako hawa mastar wetu wa bongoflava
wewe unajua ni bonge la star, kama M. Jackson
But just outside EAC wengi ni anonymous kabisa
BUt of course I don't expect you to believe me
 
hapo uliposema nimegongewa like ulikua na hoja gani?

Kwani yeye akuona ulikimbilia kujibu kitu ulicho kihisi tu katika halmashauri ya ubongo wako ambacho kimsingi sicho.
Katika like zako zote toa moja
 
Kwani yeye akuona ulikimbilia kujibu kitu ulicho kihisi tu katika halmashauri ya ubongo wako ambacho kimsingi sicho.
Katika like zako zote toa moja
Kwa hiyo unataka kumlazimisha alike pumba zako na asilike points zangu?
 
Ha ha ha ha! You make my day
unashangaa sana eh? huamini mtu kama Ngwea (whoever he was)
could be interested in knowing other people maana yeye ndie kilele cha umaarufu, sio?
 
Hii thread ya ajabu sana, inachakachuliwa na mtoa mada mwenyewe.
 
Kwa hiyo unataka kumlazimisha alike pumba zako na asilike points zangu?

Kama Zangu pumba, point zako randa za mbao. Sijui yeye ni She or He. Kama ni He Avarta imemchanganya
 
Kama Zangu pumba, point zako randa za mbao. Sijui yeye ni She or He. Kama ni He Avarta imemchanganya
mbona sasa hawajakugongea like wewe?
we si unaamini like ndio alama ya kuongea point?
 
mbona sasa hawajakugongea like wewe?
we si unaamini like ndio alama ya kuongea point?

Ngoja nikuache kwanza nikasake mahela, nitarudi kukuelimisha. Bila ya mimi kukusaidia wewe, utaelimika.
 
Ngoja nikuache kwanza nikasake mahela, nitarudi kukuelimisha. Bila ya mimi kukusaidia wewe, utaelimika.
Haya, nakuruhusu uende,
Ila utakapo rudi nigaie na mimi.
 
Back
Top Bottom