Mapenzi ndio yaliyo futa udini na ukabila nchi hii...

Mapenzi ndio yaliyo futa udini na ukabila nchi hii...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
Habari wana MMU?

Baada ya habari naomba tujadiliane hapa kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwamba Mapenzi ndio yaliyo husika kiasi kikubwa sana kufuta haya matabaka mawili ya udini na ukabila na si siasa wala lugha ya kiswahili.

Hii iko wazi toka enzi hizo wanaume walivuka mipaka kwenda kutafuta vimwana wa vijiji vya karibu na hii yote ni katika kuufurahisha Mioyo na nafsi zao kwa huduma ambazo kwa namna moja au nyingine wanazipata toka kwa kwa vimwana hao amba si wa makabila yao.

Ufundi wa wanawake kwa baadhi ya makabila ndio ulopelekea wanaume wengi kuvutiwa na wanawake hao na kuwapelekea kufuta mawazo ya kuoa katika makabila yao na kuamua kwenda mbali kutafuta wanawake wazuri wenye tabia njema na wanaojua kujari waume zao,ndio maana nikasema hii migegedo imefuta kabisa udini na ukabila katika nchi yetu,ndio maana unakuta mchaga kaoa mpara,msukuma kao mkurya Masai kaolewa na MNYAMWEZI ,wewe mwenyewe hapo umeoa kabila tofauti,wengine wanaishi makabila tofauti na dini tofauti lakini mgegedo umewafanya wawe kitu kimoja na huwezi kuwaambia kitu kwa hilo.

Mgegedo si siasa ni vitendo .

haya karibuni jamani.
 
ni kweli sio dini ,makabila tu hadi ubaguzi wa rangi unawezwa kufutwa kwa Migegedo na papuchi lets come together say no to racism LOVE MAKES WORLD GO AROUND
 
Back
Top Bottom