Totoz
Member
- Jan 27, 2013
- 99
- 18
siku hizi hakuna mapenzi ya dhati wadada wanachagua wanaume kama bidhaa ya kichina na original na mwishowe anachukua ya kijapani iliopita china kwa finishing. Wakaka wanachagua wadada wenye makalio wakati wao ni mabapa na vitambi mbele loooh jaman kweli kupata mke bora na mke boro ni sawa na kutafuta almasi ndani ya bahari.