Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,439
- 4,146
Kwamfano unadem ambaye unamkubali saaaana na umeisha jidhatiti kuwa ndo mwanamke ambaye utaishi nae, love ipo public kila mmoja anaelewa uhusiano wenu hadi imefikia hatua kutupia picha zake nyiiingi Facebook, umeweka dp yake whatsapp yaani mapenzi mubashara alafu ikatokea siku akakuambia sikutaki tena naomba tuachane nimeisha mpata wa type yang so achana na mimi, swali
Je, utafuta dp uliyo iweka whatsapp na picha zote za facebook au utaziacha?
Je, utafuta dp uliyo iweka whatsapp na picha zote za facebook au utaziacha?