OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 457
- 773
Moja kati ya kitu ambacho wanaume wengi wamekuwa wakikizungumzia sana mtandaoni na kuonyesha wanakichukia ni hii kauli ya nitumie na ya kutolea
Inaonekana kuwa ni kauli inayotolewa na mtu anayeomba hela! Kauli hii inafanya wanaume wengi kuona mtu asiyetoa kauli hii kuwa ni mwanamke anayepaswa kuwa mke
Wanaochukia kauli hii wanaonyesha yafuatayo
1. Hawana hela ya kuweza kuhudumia, hata hela ambayo ametuma amejitutumua, kwa hiyo kuongeza kidogo ya kutolea atafirisika kabisa
AU
2. Mtu anayetaka kutumiwa ya kutolea hana thamani ya kutumiwa ya kutolea ila hali inalazimisha tu
Vyovyote itakavyokuwa lakini kwa nini mtu achukie kutuma 3000 ya kutolea ikiwa ameshatuma 50000. Hii inaonyesha wanaume wameanza kuelekea usawa kwa kumtaka mwanamke afanyekazi ili kusiwe na utegemezi kwenye masuala ya hela
Japo usawa unahitajika, kumbuka ya kuwa tafiti zinaonyesha mapenzi yenye wapenzi walio na usawa kiuchumi hawadumu
Signed
OEDIPUS

mfano umetuma 53,000(3000 ni ya kutolea) lakini ukaambiwa bebi nitumie na ya kutolea itoke 53,000 cash. Ndio maajabu ya wanaoomba na ya kutolea.