Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,748
- 28,140
Kila zama na mambo yake...!
Ndio,zama hizi zenye kile kinachoitwa utandawazi, wenye kila aina ya taarifa unayotafuta, Wenye kila aina ya mambo mapya.
Siku hizi imekuwa kama desturi kuwa mtu lazima ukiingia ndoani mwenza wako awe tajiri. Yaani automatic mke amkute mume tajiri..!
Utaskia mdada anasema " mie siwezi kuolewa na mwanaume maskini "
Inawezekana yuko sawa lakini, wanasemaga kwenye kila mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke nyuma yake. Sasa iweje yeye amkute huyo mwanaume tayari ni tajiri? Nyuma ya huyo mwanaume mwanamke gani kasimama? Si ingekuwa vizuri kama angesimama yeye kuzitafuta from the scratch na huyo mwanaume? Tuachane na hayo.
Wakati Niko shule niliwahi kuachwa na msichana niliyempenda kwa kuwa tu nilishindwa kumlipia hela ya kuingia disko..! Inashangaza eeh?
Niliona kama nimeonewa, lakini kumbe nilistahili. Ndio, nilistahili sababu nilishindwa kumtimizia hitaji lake. Nilistahili sababu nilishindwa kuweza kummudu na wenye kuweza wakamchukua, ilikuwa ni sawa .
Nilipaswa kutafuta msichana ninayeweza kummudu. Otherwise utaishia kusema wanawake wote wanapenda pesa.
Tafuta mwanamke wa level yako ,kila mtu ana class yake..!
Tuseme ukweli hakuna anayependa kuishi kwenye shida. Kama yupo anyooshe kidole. Hivyo kila mwanamke anataka kuwa kwenye ndoa/ mahusiano ambayo akiomba pesa ya kitu Fulani apewe kwa wakati na sio kuna pesa naiskilizia "
Ila tu wanachokosea wanawake kwetu wanaume , wanataka tu amkute huyo mwanaume tayari pesa na utajiri anao.
Wewe unakuwa una mchango gani kwenye safari yake zaidi ya kumzalia watoto?
Wanaume tutafute pesa na kuwatunza wake zetu ili waache kuleta visingizio vingi achepuke alafu aseme ni sababu ya shida. Otherwise utapokonywa mkeo /demu wako kama huna kitu..
Money always win..ukiwa nazo yaani hata ukimuacha binti ,anakuja mama yake kumuombea msamaha..
Funzo:na ukimpa pesa basi isizidi buku