Mapenzi na mziki ni ya nani?

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230
Durooo, aaah Durooooo................

Mapenzi yametokea wapiii, nani aliumba mapenzi? Nani anayachochea mapenzi?.........(hayaa wacha

yaendelee.............feel like am sinking........)

Mziki asili yake wapi? mziki ni wa nani? mziki hauna mwenyewe, mziki ni maombolezo..........................

Mziki asili yake wapieeeeh.............

Mziki ni wa nani eeehhh..............

Mziki hauna mwenyewe...........................

mziki ni wimbo...............................

mziki ni fundisho........................

mziki ni maombolezo kiliiioooooooooo.....

Usinione nikiimba Kasie mie............... ukadhani ninayo furaha...................... kumbe ninayo huzuni moyoniiiii............

Mziki ni agizo la Mungu ulimwenguni kote, hata kanisani wanaimba nyimbo kumuomba mungu, kumsifu mungu

kumwabudu mungu............

Hata kukiwa na sherehe za kiserikali kabla ya mwenyekiti kuhutubia mziki hutumika kukusanya watu.

Paulo na Sila waliimba gerezani Mungu akawasikia, Musa aliimba wimbo wa aina yake kuwakomboa wana wa israel

kutoka nchi ya utumwa - Misri.

Ukiwa na sherehe utaimba nyimbo za furaha.............

Ukiwa an huzuni utaimba nyimbo za masikitiko.....................

Ukifa leo utapelekwa makaburini na nyimbo za maombolezo.................

Ni mziki pekee ulio na nguvu ya kukusanya wabaya na wazuri, wanafiki na wachawi, warembo na wasio warembo,

weupe na weusi, wafupi na warefu, walemavu na wazima.........................

Mziki sio uhuni................ Mziki ni kama mchezo....................

Hata kwa Mungu malaika wanaimba nyimbo za kusifu na kuabudu............

Mziki asili yake wapieeeeh.............

Mziki ni wa nani eeehhh..............

Mziki hauna mwenyewe...........................

mziki ni wimbo...............................

mziki ni fundisho........................

mziki ni maombolezo kiliiioooooooooo.....

Usinione nikiimba Kasie mie............... ukadhani ninayo furaha...................... kumbe ninayo huzuni moyoniiiii............

Weka Kasie Remix sasa.................. eeh eeh.........

Zungusha kiuno eeh, chezesha mabega aah aah, tingisha kisigino ooh oooh, sugu goti uuuh uuh..............

Serebukaak............... serebuka baba serebukaah.................. serebuka mama serebukaah

Sina hamu Kasie mie looh, njaa haiji, nasikia baridi wakati wote, homa si homa, bora kuwa na kichefuchefu utatapika,

bora ukiwa na uchungu maana muda si mrefu utapata mtoto kuliko hii..................

Hata kwa Mungu malaika wanaimbaa.................

Mziki asili yake wapieeeeh.............

Mziki ni wa nani eeehhh..............

Mziki hauna mwenyewe...........................

mziki ni wimbo...............................

mziki ni fundisho........................

mziki ni maombolezo kiliiioooooooooo.....

Usinione nikiimba Kasie mie............... ukadhani ninayo furaha...................... kumbe ninayo huzuni moyoniiiii............

As usual Kasie anawatakia mchana mwema kwa waliopata lunch na ambao hawajapata lunch.
 
Kwanini uwe huzuni dada, maisha mafupi haya
 
Napenda kuchukua nafasi hii kukanusha habari ambazo zimekuwa zikienezwa juu yangu. Sijawahi kuwekwa gerezani maishani, wala sijawahi kumjua yeyote aitwaye Sila. Hizo ni taarifa za uzushi, zenye nia ya kuchafuana.
Asanteni.
 
Sawa Kasie,basi ukimuona Nyani Ngabu mfikishie salam

Hhahahahahaaaaaaaaaa

Sikuwa kwenye hali ya kumchokoza huyu mtu leo ila kwa kuwa umemtaja ngoja nimuite kwa sauti ndefu..........

Pumpkin Monkeeey ....................... Hun Bunny Monkey Ngabuuuuu.................. Honey Pie......................... Nyani Ngabu please receive the salamu from Valley....... Nyani Ngabu its her not me....... you know me I know that..............
 
Last edited by a moderator:
Napenda kuchukua nafasi hii kukanusha habari ambazo zimekuwa zikienezwa juu yangu. Sijawahi kuwekwa gerezani maishani, wala sijawahi kumjua yeyote aitwaye Sila. Hizo ni taarifa za uzushi, zenye nia ya kuchafuana.
Asanteni.

Hhahahahahahahaa wajua umenifanya nitabasamu kwanguvu thanks for that,

Your complaints are noted for action, claims filed.

Happy now ... boy.....!!!!???
 
Hhahahahahahahaa wajua umenifanya nitabasamu kwanguvu thanks for that,

Your complaints are noted for action, claims filed.

Happy now ... boy.....!!!!???
Haha. Happy that I made you smile. But unhappy you called me a boy. 'less it's just role playing. Is it?
 
Haha. Happy that I made you smile. But unhappy you called me a boy. 'less it's just role playing. Is it?

Hhahahahahhaaaa yeah you really made me smile looh

Ooooooh sorry man, I retake my words

Your claims are received for action. Claims filed.

Happy now gentleman.......!!!?? haha

Just it nothing else ....................
 
I'm happy now. 😊
 
You sexy little thing you!
 
Music also heals...... Kasie is healed ....... yiiiipiiiiiiiii to the music

Singing and dancing yuuhuuuuuu
 
Teh hawezi kujibu huyo...

Khaaaa kwani ni domo zege?........ Pumpkin it's not me...... you know me.....

Ila nimejikuta napata kikohozi cha gafla. .....
Koh koh koh koh.... Sijui ni nanii. .... hahahahaa acha kabisa raha sana asikwambie mtu.
 
He hee mnapendana eeh?! Wewe na pumpkin wako
 
Music is the food of the soul, huwa nalia nasisimka, nacheka au nalia na kucheka kwa pamoja, mziki ni kama dawa flani hivi aaaaarg acheni mziki uitwe mziki jamani haijalishi ni wa aina gani!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…