Duuuh...huyo alikuwa ana utoto mwngi japo wamemzalisha mapema.Nimemuacha maana ana tabia kinyume na matarajio. Ananiganda kila sehemu, anataka nimsindikize popote anapoenda, ana wivu sijawahi ona mpaka nikiwa kwenye group disc anakuja kukaa pale nilipo n hachangii wala hausiki kwenye group.
Siku moja nikawa na manzi mmoja mrembo sema nawaheshimu sana walokole, aliniomba nimpige picha tukawa tunazunguka around. Ghafla naona mtu huyo anatufata nikamtext kwamba aondoke akanuna sijawahi ona. Bahati mbaya sipo romantic (ndo maana hata sikushtuka nilipogundua ana mtoto) na ni no nonsense. Siku mbili mbele yule jamaa wa SUA akachomwa kisu, nikaona hamna maisha hapa ubatili mtupu.
Umeona nn kwake mkuu?? huenda naeza kukusaidia...je,Ana picha ya katoto kwa wallpaper yake?.. first sign...Duuuh...huyo alikuwa ana utoto mwngi japo wamemzalisha mapema.
Ila wanawake wa chuo usipokuwa makini unaweza ukawa unamauhusiano au kuoa single mother,huwa hawasemi Kama alishazaa ana mtoto.
Mimi kuna mmoja npo nae hajawai niambia wala kunionesha dalili Kama ana mtoto Ila nina wasiwasi nae sana kuwa anamtoto Ila ananifcha tu...
Itakuwa ulikuwa na sura mbovu sanaAm here...
Kwa sababu ulikuwa na sura mbaya isiyo na mvutomimi apa[emoji275]
Hapa kuna kaukweli eeh🤔Umeona nn kwake mkuu?? huenda naeza kukusaidia...je,Ana picha ya katoto kwa wallpaper yake?.. first sign...
Yes...Kama anayo picha..na anaongeaga na katoto frequently..na anasema n katoto ka dada ake...verify kidogo bro..siku hizi tunazaa na chuchu hazilali Wala hatupati michirizi Wala naniuuu hazikui pana...Ila ka anakupenda tulia..pambania hiyo kombe[emoji122][emoji122]Hapa kuna kaukweli eeh[emoji848]
alafu shepless😂Kwa sababu ulikuwa na sura mbaya isiyo na mvuto
Hapo lazima wajuba wakupite tu kama hawakuoni vilealafu shepless[emoji23]
Aliemchoma ni huyo demu wako au???[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ungefata wewNimemuacha maana ana tabia kinyume na matarajio. Ananiganda kila sehemu, anataka nimsindikize popote anapoenda, ana wivu sijawahi ona mpaka nikiwa kwenye group disc anakuja kukaa pale nilipo n hachangii wala hausiki kwenye group.
Siku moja nikawa na manzi mmoja mrembo sema nawaheshimu sana walokole, aliniomba nimpige picha tukawa tunazunguka around. Ghafla naona mtu huyo anatufata nikamtext kwamba aondoke akanuna sijawahi ona. Bahati mbaya sipo romantic (ndo maana hata sikushtuka nilipogundua ana mtoto) na ni no nonsense. Siku mbili mbele yule jamaa wa SUA akachomwa kisu, nikaona hamna maisha hapa ubatili mtupu.
Ahahaaa....ulijuaje mkuu,kuna sku alnpa sm yke ntumie nkaona kakaweka katot kamefanana nae...na huwa anakapost japo Mara chache.Umeona nn kwake mkuu?? huenda naeza kukusaidia...je,Ana picha ya katoto kwa wallpaper yake?.. first sign...
Mambo ya familia za watu hayanihusu mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... Niache nipike chai ya mdalasini hapaAhahaaa....ulijuaje mkuu,kuna sku alnpa sm yke ntumie nkaona kakaweka katot kamefanana nae...na huwa anakapost japo Mara chache.
Npe sign nyingne mkuu nijiridhishe zaid japo adi sasa Nina asilimia kubwa kuamini anae..
Siku uombe kuongea na hako katoto..dai kuwa "natamani kuongea na haka katoto kapigie basi...kanaonekana kajanja..sikiliza katavomuita...ndo game over"Ahahaaa....ulijuaje mkuu,kuna sku alnpa sm yke ntumie nkaona kakaweka katot kamefanana nae...na huwa anakapost japo Mara chache.
Npe sign nyingne mkuu nijiridhishe zaid japo adi sasa Nina asilimia kubwa kuamini anae..
Ooh...ntafanya hvyoo mkuuSiku uombe kuongea na hako katoto..dai kuwa "natamani kuongea na haka katoto kapigie basi...kanaonekana kajanja..sikiliza katavomuita...ndo game over"
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kaniacha hoi eti hapo umpe aweke yeye, wee utatumia vibaya, khaaaaaah mbna aliua band kabisaaaaaah uwiiiihUsipokuwa Makini eti ujikute "nimenyony in nyanyu" unakufa[emoji57][emoji57] Kaka tapeli Yule ndo maana miguu inamnuka[emoji57]
Yaani alijikuta nmb[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kaniacha hoi eti hapo umpe aweke yeye, wee utatumia vibaya, khaaaaaah mbna aliua band kabisaaaaaah uwiiiih
Yaan boom umpe BF aweke, hivi alikuchukuliaje kwan maan inanpa vigumu kuelewa ujasiri was huyo kiumbe khaaaah.Yaani alijikuta nmb
Kuna jamaa mmoja alidate na dada mmoja katutangulia mno na ana mtoto mkubwa tu. Wakati tupo form one, yeye ndo kahitimu form four.Duuuh...huyo alikuwa ana utoto mwngi japo wamemzalisha mapema.