Mapenzi na mahusiano ya Vyuoni

Wale wa mtakuja praimari skulu tulionyandua walimu pisi zetu kisimani mnatuweka wapi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Legendary [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hapa nimejitahidi nilikuwa nae mmoja tu tatizo ana wivu kisha ana mtoto. Baada ya kugundua ana mtoto nikahisi usikute mke wa mtu. Hajawahi nipiga kizinga hata sema tangu yule jamaa achomwe kisu nilishtuka.
Kwahyo ulimuacha mkuu.. ahahaa
 
mkuu najua we nikabishi japo unaelewa kila kitu.
[emoji2][emoji2][emoji2] nimecheka hadi baas lol, ila vyuoni hakuna mapenzi n ufuska na uzinzi. Hasa hapa kilicho kairibu na [emoji3552] [emoji551], tobaaaaah hali ni mbaya kwa kweli. Uwiiiiiiiih
 
[emoji2][emoji2][emoji2] nimecheka hadi baas lol, ila vyuoni hakuna mapenzi n ufuska na uzinzi. Hasa hapa kilicho kairibu na [emoji3552] [emoji551], tobaaaaah hali ni mbaya kwa kweli. Uwiiiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
maisha ya chuo yalivyo si rahisi, kuna rafiki angu alikua mtu wa din sana bt uzalendo ulimshinda mwaka wa pili aliwatafuna mpaka basi... yale mazingira yanahamasisha mahusiano hivo si rahisi kukwepa
Akili ikiwa ndogo huzidiwa na tamaa za nafsi...
 
Kwahyo ulimuacha mkuu.. ahahaa
Nimemuacha maana ana tabia kinyume na matarajio. Ananiganda kila sehemu, anataka nimsindikize popote anapoenda, ana wivu sijawahi ona mpaka nikiwa kwenye group disc anakuja kukaa pale nilipo n hachangii wala hausiki kwenye group.

Siku moja nikawa na manzi mmoja mrembo sema nawaheshimu sana walokole, aliniomba nimpige picha tukawa tunazunguka around. Ghafla naona mtu huyo anatufata nikamtext kwamba aondoke akanuna sijawahi ona. Bahati mbaya sipo romantic (ndo maana hata sikushtuka nilipogundua ana mtoto) na ni no nonsense. Siku mbili mbele yule jamaa wa SUA akachomwa kisu, nikaona hamna maisha hapa ubatili mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…