Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
Sijaelewa mkuuAlice in a Wonderland
Haya bwanaLeo umeongea kidog nimekuelewa
Imeandikwa uishi nao kwa akiliπππππππππ ukitaka uishi Kwa Amani mwanaume ujue haya :
1.ujue kumuandaa mwanamke na apewe haki yake aridhike
2.Apewe kadi ya manunuzi , apendeze anunue atakachoo, akupikie ule akuandae kwenda kazini .
3.ukirudi akupokee Kwa tabasamu zuri nawewe mwanaume urudishe tabasamu kuonyesha unamjali nakumpenda akuulize siku yako imeendaje na siku yake umuulize imeendaje ,akuogeshe ,umuogeshe,akulishe umlishe , mpeane vyenu ulale , apike Cha jioni mle akuandae , umuandae Kwa usiku mkalale.
4. Makosa yakitokea kama unampenda usimgombeze mrekebishe Kwa upendo,akuelewe moe haki yake nakila siku iwe style mpya za kumpendeza yeye . Walahi maisha nikupendana Carrasco putin I LOVE Y β€οΈ
Tamthilia za kifilipino zishamharibu.Dishi lishayumba, unaongelea fantasy na sio uhalisia.
Who said so??Wanawake wa sasa wana shida kubwa sana. Wanaamini katika mahusiano wao pekee ndo wanapaswa kupewa furaha. A very stupid mindset.
Hapana My hata kuimba sio mbaya ilimradi anapendaWho said so??
Mbona tunawafurahisha?
Muulize babe wangu namna navyomwimbiaga ππ
Au furaha ni mpk tuwape soksi na boxer?
Umeniquote vibaya aisee . Hujasoma Wala au Kisa umeona kadi ndio umezimikaWanawake wa sasa wana shida kubwa sana. Wanaamini katika mahusiano wao pekee ndo wanapaswa kupewa furaha. A very stupid mindset.
Haya chukulieni poaTamthilia za kifilipino zishamharibu.
nawewe mwanaume urudishe tabasamu kuonyesha unamjali nakumpenda
Ni kitabu cha Hadithi tulisoma shule miaka hiiooooo. GoogleSijaelewa mkuu
Sawa ila mkiachwa mnalalamaImeandikwa uishi nao kwa akili