Brainy Chick
Member
- Mar 9, 2013
- 64
- 21
Habari wana JF!!
Swali langu ni kwamba,hivi mtu na mpenzi wake wanaweza kukopeshana hela??
Swali langu ni kwamba,hivi mtu na mpenzi wake wanaweza kukopeshana hela??
Habari wana JF!!
Swali langu ni kwamba,hivi mtu na mpenzi wake wanaweza kukopeshana hela??
jina lako linaendana na unachouliza hongera sana brain chick:'(Habari wana JF!!
Swali langu ni kwamba,hivi mtu na mpenzi wake wanaweza kukopeshana hela??
mimi siwezi kumdai mtu kabisa so naogopa sana kumkopesha mtu .ila kama ni mpenzi wangu nitamuomba hela yangu.ila akinikopesha yeye dah akinidai sijui kama ni fair,si haki kumlipa mwanaume while ni mpenzi wako bana au?dah mimi huwa nina aibu ya kudai madeni,
kama vipi naweza kumpa tu kama kumsaidia.
hata mbunye?Si hela tu wanaweza kopeshana mambo mengi tu!
kabisa dear yaani kuna watu ni balaaukimkopesha mpenzi wako au ndugu yako jiweke tayari kwa lolote litakalotokea ikiwa ni kutolipwa, kuvunjika kwa mahusiano na mafarakano katika undugu.
Ningekushauri usimkopeshe mpenzi au ndugu yako pesa. Ikiwezekana mpe tu.
mimi siwezi kumdai mtu kabisa so naogopa sana kumkopesha mtu .ila kama ni mpenzi wangu nitamuomba hela yangu.ila akinikopesha yeye dah akinidai sijui kama ni fair,si haki kumlipa mwanaume while ni mpenzi wako bana au?
kabisa dear yaani kuna watu ni balaa
ngoja nikukopeIngekuwa vizuri kukopeshana, kuliko akakope kwa watu wengine ni bora kukopa kwa mtu wa karibu. Mimi huwa ninamkopa mama na ninamrudishia; watu wa nje hata baadhi ya ndugu huwa hawaamini kama huwa napata shida (wanaona kama nawasanifu tu).
Kwa mkopaji, ni bora kulipa kama kweli umekopa ila kama huna mpango wa kulipa basi omba na sio kutumia neno (kukopa)
Kukopeshana kupo sana tu, ila uhusiano ukivunjika na deni liisheHabari wana JF!!
Swali langu ni kwamba,hivi mtu na mpenzi wake wanaweza kukopeshana hela??